Darasa huru...

Tamko la serikali ya Tanzania

Kwa kuzingatia kanuni ya 46 ya sheria ya afya ya jamii ninaelekeza mambo yafuatayo:
  • Kwanza watanzania wasiokuwa na safari za lazima wanashauriwa kwa sasa kusitisha safari zao kwenye nchi zenye maambukizi

Tanzania imethibitisha kisa kimoja cha virusi vya corona.

Mnamo tarehe Machi,15, msafiri huyo aliiingia Tanzania majira ya saa kumi jioni.
Mgonjwa aliyetangazwa ni mwanamke wa miaka 46 raia wa Tanzania, ambaye aliwasili kutoka Ubelgiji kwa ndege ya shirika la Rwanda.

Dirisha la rufaa kuwa wazi kuanzia Novemba 13-23, 2019 (Hatua za kufata)


Soma na fuata hatua muhimu kuwasilisha rufaa yako
1.    Tembelea olas.heslb.go.tz na bofya ‘Appeal Now’
•    Visit olas.heslb.go.tz and click ‘Appeal Now’

JINSI YA KUKOKOTOA (CALCULATE) KODI ZA UINGIZAJI WA MAGARI NA GHARAMA ZA USAJILI.




Karibu tena, mawana Caribongo 'darasa huru'

Katika Makala hii,  tutaangazia  jinsi unavyoweza kujua gharama za uingizaji wa magari ,na kiasi gani kitatumika katika usajili wa gari au magari hayo.

MAJINA YA WANAFUNZI WALIOPATA MKOPO AWAMU YA TATU (HESLB)




Habari njema kwa wanafunzi waliokua wakisubiri majina ya awamu ya tatu ili kujua hatima yao ya mkopo wa elimu ya juu unaotolewa na HESLB.

MUHIMU: JINSI YA KUPATA NAMBA YA KITAMBULISHO CHA TAIFA (NIDA/NIN) NA KUPAKUA (DOWNLOAD) COPY YA KITAMBULISHO CHAKO KWA NJIA YA MTANDAO









Karibu, mwana 'caribongo'
Nakala hii itakueleza hatua kwa hatua, jinsi unavyoweza kupata namba ya kitambulisho chako cha taifa na copy au kivuli chake, ukiwa mahali popote ulimwenguni kwa njia ya mtandao(internet).


Majina waliopata mkopo Awamu ya Pili 2019/20


Heslb Loan allocation 2019/20 batch 2

HIGHER EDUCATION STUDENTS’ LOANS BOARD HESLB –LOAN ALLOCATION SECOND BATCH
How to check Your  HESLB Loan allocation status online – Bach 2
Good news to all HESLB loan applicants,  HESLB loan allocation second batch status is now available online to check your loan allocation status Simply Visit The HESLB Online Loan Application and Management System website https://olas.heslb.go.tz/index.php/olas/Olas


caribongo

Tamko la serikali ya Tanzania