Darasa huru...: MUHIMU: JINSI YA KUPATA NAMBA YA KITAMBULISHO CHA TAIFA (NIDA/NIN) NA KUPAKUA (DOWNLOAD) COPY YA KITAMBULISHO CHAKO KWA NJIA YA MTANDAO

MUHIMU: JINSI YA KUPATA NAMBA YA KITAMBULISHO CHA TAIFA (NIDA/NIN) NA KUPAKUA (DOWNLOAD) COPY YA KITAMBULISHO CHAKO KWA NJIA YA MTANDAO









Karibu, mwana 'caribongo'
Nakala hii itakueleza hatua kwa hatua, jinsi unavyoweza kupata namba ya kitambulisho chako cha taifa na copy au kivuli chake, ukiwa mahali popote ulimwenguni kwa njia ya mtandao(internet).






VITU AU TAARIFA MUHIMU, UNAZOTAKIWA UWE NAZO ILI KUPATA NAMBA AU COPY YA KITAMBULISHO;

  1. Kifaa cha kuingilia mtandaoni, yaani; smartphone,computer, laptop, n.k
  2. Taarifa zako muhimu kama;
    • Majina yako kamili, 
    • Tarehe ya kuzaliwa, 
    • Majina ya wazazi wako, 
    • Kata uliyo zaliwa na uliyo jisajili.
HATUA ZA KUPATA NAMBA NA COPY YA KITAMBULISHO;


BOFYA HAPA>>>>>     
Bofya hapo juu na ujaze taarifa zako, kisha bofya kitufe kilicho andikwa  "TAFUTA" hapo utaona namba yako ya kitambulisho, na kitufe kikiuliza kama ungependa upakue/download copy ya kitambulisho chako.

LINK NO. 1(Kupata namba pamoja na copy ya kitambulisho)
BOFYA HAPA KUPATA NAMBA YA KITAMBULISHO>>>


LINK NO.2 (Kupata copy ya kitambulisho Tu. 'kwa walio na namba ya kitambulisho tayari)

BOFYA HAPA KUPATA COPY YA KITAMBULISHO TU!!...>>>>

No comments:

Post a Comment

caribongo

Tamko la serikali ya Tanzania